Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II - 4 POST at Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa[AJIRA MPYA]

 

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)

  Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)

  Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)

  Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers)

  Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji

  Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa

  Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)


QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.

REMUNERATION: TGS C



How to Apply


If you are interested in the position and feel you match the above qualifications and experience, we welcome you to apply.


Apply Now!

Application Deadline: 26-06-2025

Note: Only shortlisted candidates will be contacted.{alertInfo}

Previous Post Next Post