Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II - 4 POST at Halmashauri ya Wilaya ya Siha[AJIRA MPYA]

 

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri

  Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa

  Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine

  Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi

  Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika

  Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika

  Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali

  Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na

  Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 80 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali

REMUNERATION: TGS.C



How to Apply


If you are interested in the position and feel you match the above qualifications and experience, we welcome you to apply.


Apply Now!

Application Deadline: 23-06-2025

Note: Only shortlisted candidates will be contacted.{alertInfo}

Previous Post Next Post